Mwinyi ambaye ni tabibu kitaaluma, anaonekana kuwa kichwa muhimu kuipeperusha bendera ya CCM Zanzibar, si kwa sababu tu ya siasa zake za utiifu, pia ni kwakuwa uhusiano wake kisiasa na kidamu uko ...
Lowassa ambaye alipeperusha Bendera ya upinzani mwaka 2015, alikuwa Kada wa chama hicho kwa miaka mingi kisha kukihama chama cha CCM baada ya kutoidhinishwa na chama hicho kuwa mgombea wake.
Kyiv na Moscow zimebadilishana wafungwa siku ya Ijumaa, ikiwa ni mara ya pili tangu ... wakiwa wamevikwa bendera za Ukraine za buluu na njano. Waandishi wa habari wa AFP, waliokuwepo kwenye ...
FAINALI ya Ngao ya Jamii kwa Wanawake kwa mwaka huu inatarajiwa kufanyika leo kwa kuwakutanisha 'Maafande' wa JKT Queens ...
Mseto wa United Democratic Alliance (UDA) ume mtangaza rasmi Naibu Rais wa Kenya, William Samoei Ruto kuwa kinara wake katika uchaguzi mkuu wa 9 Agosti 2022. Kampeni za Urais nchini Kenya zime ...
Thailand ilipokea onyo la “bendera ya manjano” mwaka 2015, hali iliyothibitisha kuwa ni sehemu ya mabadiliko makubwa kwa sekta ya uvuvi ya nchi hiyo. Meli zenye bendera ya Thailand kwa sasa ...
Wafanyakazi wa kujitolea 45,000 waliosaidia kwenye Olimpiki na Paralimpiki ya Paris walipongezwa kwa shangwe kubwa. Meya wa Paris Anne Hidalgo amekabidhi bendera ya Paralimpiki kwa Karen Bass ...
WAKATI Mabingwa wa Tanzania Bara wakipangwa Kundi A kwenye hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwa na TP Mazembe ya ...
Peter Bol apeperusha bendera ya Australia katika fainali ya 800m ya michuano ya dunia ya riadha ya Oregon, na historia yatengezwa katika fainali ya kombe la Afrika la wanawake, wakati mataifa ...
Mdahalo huu wa kwanza na wa pekee kati ya Makamu wa rais Harris atakayepeperusha bendera ya chama cha Democratic na rais wa zamani Trump, mgombea wa chama cha Republican, utatazamwa na mamilioni ...
Jeshi la Sudan limekanusha madai yaliyotolewa na jeshi la Umoja wa Falme za Kiarabu yanayosema kwamba vikosi vyake vilishambulia kwa mabomu makazi ya ubalozi wake mjini Khartoum. Katika taarifa ...
Miongoni mwa walioshiriki ni Gavana wa Jimbo la Florida, Ron Desantis, anayepewa nafasi ya kutoa ushindani kwa rais wa zamani, Donald Trump, anayewania kupeperusha bendera ya chama cha Republican ...